Serikali yarejesha Makontena kwa Barrick Gold
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, ameiagiza Kampuni ya Barrick Gold, kuyachukua yale Makontena ya Makinikia yaliyozuiliwa bandarini ili wayauze kwa faida ya kampuni ya Twiga.

