Sababu ya Killy kumsikiliza mama yake kutoka Kings
Msanii Killy ambaye amejitoa katika lebo ya Kings Music Records, amesema ameamua kuchukua uamuzi huo kutoka kwa mama yake kwa sababu ndiyo mtu pekee aliyekuwa akimsapoti na anamfuatilia mienendo yake.