Waziri aagiza TV zifungwe katika kila Kijiji

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi.

Waziri wa Ardhi, William Lukuvi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Isimani mkoani Iringa, ametoa msaada wa TV 40 ambazo zitawekwa katika maeneo ya wazi kwenye Vijiji 60 vya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, ikiwa ni kuwasaidia wananchi wake kupata elimu ya kujikinga na maambukizi ya Corona.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS