Waziri Mkuu aonya wanaodhani kila kifo ni Corona

Waziri Mkuu akizungumza wakati akitoa taarifa kuhusu Corona

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametoa rai kwa Watanzania, kuacha kutoa taarifa za uzushi za vifo kuwa kila kifo kinachotokea kinasababishwa na Virusi vya Corona.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS