Babalevo atangaza kugombea ubunge jimbo la Zitto Msanii Babalevo Msanii Babalevo ambaye ni diwani aliyemaliza muda wake katika kata ya Mwanga Kaskazini Manispaa ya Kigoma Ujiji kupitia chama cha ACT wazalendo, amesema sasa anakwenda kugombea ubunge. Read more about Babalevo atangaza kugombea ubunge jimbo la Zitto