China na Marekani waingia tena kwenye mzozo Rais wa Marekani Donald Trump ameikosoa China, kwa kutonunua tena soya kutoka Marekani na kudai kuwa nchi yake inaweza, kwa kulipiza kisasi, kuacha kuagiza mafuta ya kupikia kutoka China. Read more about China na Marekani waingia tena kwenye mzozo