Papa Francis anaumwa homa ya mapafu Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amekutwa na ugonjwa wa homa ya mapafu (pneumonia) katika mapafu yake yote mawili na hali yake bado "sio nzuri," Read more about Papa Francis anaumwa homa ya mapafu