Ratiba ya kuaga mwili wa Odinga yabadilishwa tena Mwili huo uliotarajiwa kusafirishwa moja kwa moja hadi katika uwanja wa Nyayo, ulipelekwa bungeni ili kuwapa fursa wabunge kuuaga kabla ya kupelekwa katika uwanja wa Nyayo. Read more about Ratiba ya kuaga mwili wa Odinga yabadilishwa tena