Raila Odinga kuzikwa Jumapili Oktoba 19, 2025
Mwili huo unatarajiwa kuwasili katika Uwanja wa Jomo Kenyatta nchini Kenya leo Alhamisi Oktoba 16, 2025 majira ya 8:30 asubuhi na kusindikizwa na Gwaride kuelekea Ikulu majira ya 12:00 mchana kabla ya saa 8:00 kupelekwa katika Bunge la nchi hiyo na watu kutoa heshima za mwisho.

