UEFA waingilia kati Kadi nyekundu ya Bellingham

Jude Bellingham akihamaki baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu na refa Jose Luis Munuera Montero

Baada ya La Liga, UEFA sasa pia imechukua hatua kwa kumsimamisha mwamuzi Munuera Montero kuchezesha mashindano ya Ulaya hadi itakapotangazwa tena.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS