Mateka 20 wa Israel waachiliwa huru na Hamas

Vita vya Israel dhidi ya Gaza vimeua watu wasiopungua 67,806 na kujeruhi 170,066 tangu Oktoba 2023. Jumla ya watu 1,139 waliuawa nchini Israeli wakati wa mashambulizi ya Oktoba 7, 2023, na karibu 200 walichukuliwa mateka.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS