"Rais Magufuli amekuwa kama Yesu Kristo" -Kangi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, na kulia ni Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola.

Mbunge wa Mwibara kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Kangi Lugola, amesema kuwa watu kama Rais Magufuli hauwezi ukawapata popote pale na ndiyo maana hata alipoamua kumtengua kwenye nafasi yake ya Uwaziri alimshukuru na hivyo kumfananisha na Yesu Kristo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS