Mbunge adai kugundua dawa ya Corona, '30 wamepona'
Mbunge wa Lushoto Shabani Shekilindi
Mbunge wa Lushoto Shabani Shekilindi, amedai kugundua dawa inayotibu ugonjwa wa Corona, ambapo kwa sasa ameikabidhisha Serikalini ili kupata uthibitisho wa Maabara.