Magufuli ampigia simu Rais mpya wa Burundi Rais Magufuli Rais Magufuli amezugumza kwa simu na Rais Mteule wa Burundi Evariste Ndayishimiye na kumpongeza kufuatia uamuzi wa mahakama ya Katiba kuagiza Rais huyo aapishwe haraka. Read more about Magufuli ampigia simu Rais mpya wa Burundi