"CHADEMA wamenifukuza, CUF wamenisaidia"-Lwakatare
Mbunge wa Bukoba Mjini kupitia CHADEMA Wilfred Lwakatare, ameamua kuwaweka sawa wale waliokuwa wanahisi kwamba, yeye ameamua kukihama chama chake na kusema kuwa yeye hakufanya maamuzi hayo bali chama chake kilimfukuza.