Domayo amtaka radhi Kapombe

Kiungo wa klabu ya Azam Fc,Frank Domayo (pichani).

Nyota wa klabu ya Azam Fc,Frank Domayo amemuomba radhi beki wa klabu ya Simba Shomari Kapombe kufuatia rafu mbaya aliyomchezea jana kwenye mchezo wa robo fainali ya FA.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS