Msigwa atangaza rasmi nia kuwania Urais 2020

Mchungaji Peter Msigwa

Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa ametangaza rasmi nia yake ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa 2020.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS