"Wabunge wanapimwa ila hatutangazi" - Spika Ndugai
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai.
Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, amesema kuwa Mbunge yeyote ambaye anahisi ana dalili za maambukizi ya Virusi vya Corona anafanyiwa vipimo, isipokuwa hawatangazi tu kwenye vyombo vya habari.