"Nasikitika, natamani nirudi" - Harmonize
Mkali wa Album ya "Afro East" Harmonize, amepiga stori na EATV & EA Radio Digital, kuhusu muonekano na style yake ya nywele ya kusuka ambayo ilikaa kwa muda mrefu kichwani kwake, kisha kuitoa na kusema anatamani kuirudia.