'Hatugawi Dawa mpaka utafiti' - Waziri Kabudi
Waziri wa Mambo ya Nje, Prof. Palanagamba Kabudi amesema dawa ambayo Tanzania imeipokea kutoka kwa Serikali ya Madagascar, kuwa dawa hiyo haijaja kwa ajili ya matumizi badala yake ni kwa ajili ya ufaiti kwanza