Dayna Nyange ajibu kuhusu kutoa mimba

Msanii Dayna Nyange amesema kuwa kipindi anatoka Marekani, alikuwa na tumbo kubwa ambapo watu walidhani ni mjamzito lakini baada ya muda hakuonekana hivyo hali iliyopelekea watu kudhani ametoa ujauzito huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS