"Nimejichubua vya kutosha, tunakosa wanaume"-Pili
Muigizaji wa filamu na mchekeshaji Bongo Pili Kitimtim amesema mwanamke kujipiga kitaulo "kujichubua" ni lazima kwani hata yeye ameshajichubua vya kutosha, pia ameshea stori ya kukosa wanaume kutokana na kazi anayoifanya ya uchekeshaji.

