EPL, EFL na PFA kuwapa nafasi makocha weusi (BAME)
Ligi kuu ya soka England pamoja na kombe la ligi nchini humo (EFL) kwa kushirikiana na chama cha wachezaji wa kulipwa (PFA), wamekuja na mpango wa kuboresha uwezo kwa makocha weusi, wenye asili ya Asia na wanaotoka nchi nyingine ambazo hazijapiga hatua kwenye soka.


