Zlatan amesema AC Milan ingetwaa ubingwa .

Mshambuliaji wa AC Milan,Zlatan Ibrahimovic(pichani),katika moja ya shambulizi kwenye mechi ya Seria A dhidi ya Juventus ambayo walishinda kwa bao 4-2.

Mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden na klabu ya Ac Milan ametamba kuwa endapo angesajiliwa mapema katika klabu hiyo amaamini wangefanikiwa kutwaa ubingwa wa Scudetto msimu huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS