Mtoto wa mwaka 1 afariki kwenye Dimbwi la Maji

Nyumba ikiwa imezungukwa na maji yaliyotokana na mvua kunyesha

Jeshi la Zimamoto mkoani Kagera limefanikiwa kuopoa mwili wa mtoto mmoja aliyefahamika kwa jina la Baraka Mwombeki (1), ambaye alitumbukia katika dimbwi la maji lililotokana na mvua.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS