Jeshi la polisi lahimiza kinga ya moto
Jeshi la zimamoto na uokoaji nchini limewataka wamiliki wa shule wanazingatia Sheria ya majengo nchini kwa kuweka idadi sawa ya wanafunzi kwenye mabweni na vyumba vya madarasa ikiwa ni pamoja na kuweka kwa usahihi vifaa vya kuzimia Moto.

