Kinachofuata CHADEMA baada ya siku 14 za karantini
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa muda wa Wabunge wake kukaa karantini kwa siku 14, umemalizika siku ya jana na kwamba leo Mei 15, 2020, wanatarajiwa kurejea Bungeni na kuendelea na shughuli zao kama kawaida.