Mawaziri wapishana ofisi za CCM
Baada ya CCM kutangaza rasmi kuwa zoezi la uchukuaji wa fomu kwa wagombea wake wa nafasi za Ubunge,Udiwani na Uwakilishi kuanza leo Julai 14, 2020, hali katika ofisi za chama hicho katika maeneo mbalimbali nchini imechangamka kutokana na watia nia kujitokeza kwa wingi kuchukua fomu.

