Mama Kiba aeleza Ali alivyopotea kwenye mdundiko Mama wa wasanii Alikiba na Abdukiba katikati akiwa na wanae Mama mzazi wa staa wa BongoFleva Alikiba, Abdukiba, Zabibu na Aboubakar Kiba, amesimulia jinsi mwanaye Alikiba alivyopotea kutoka Kariakoo hadi Vingunguti kisa ngoma za mdundiko. Read more about Mama Kiba aeleza Ali alivyopotea kwenye mdundiko