Heshima kwa Liverpool baada ya miaka 30.

Liverpool na Chelsea katika moja ya mchezo wa EPL walipokutana.

Hatimaye klabu ya Liverpool itakabidhiwa kombe la ligi kuu ya England EPL leo usiku kwenye mchezo wao dhidi ya Chelsea katika dimba la Anfield ukiwa ni mchezo wao wa mwisho katika uwanja wao wa nyumbani msimu huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS