
Treni
maeneo na kusababisha uharibifu wa miundombinu ya reli.
Miundombinu iliyotajwa kuharibika ni stesheni ya Morogoro na Mazimbu, Munisagara na Mzaganza wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro na Godegode na Gulwe wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma pamoja na eneo la Wami, Ruvu mkoani Pwani na Mkalamo mkoani Tanga.
Wahandisi kutoka TRC wanaendelea na matengenezo katika maeneo yaliyoathiriwa na mvua zinazoendelea.