Picha ya Mzee Onyango
Chanzo cha kifo chake inaelezwa kuwa ni kusumbuliwa kwa ugonjwa wa shinikizo la damu 'Presha' kwa muda mrefu.
Wasanii aliowahi kufanya nao kazi enzi za uhai wake na mashabiki zake wametumia mitandao ya kijamii kutuma salamu za pole na kuelezea hisia zao za kuguswa na kifo cha Mzee Onyango.






