![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2023/10/31/bbjk.jpg?itok=4EQg7yyd×tamp=1698771937)
Mmiliki huyo alisema kuwa "Ikiwa watu 20,000 watatoa kiasi cha paundi £100 basi itakuwa ni sawa na jumla ya paundi milioni 2, hivyo Kiasi hicho cha pesa kitatosha kugharamikia kila kitu"
Mmiliki wa klabu ya Sheffield Wednesday inayoshiriki daraja la pili nchini Uingereza, Dejphon Chansiri amewaomba mashabiki wa klabu hiyo kuichangia klabu kiasi cha paundi milioni 2 kwa ajili ya kulipa mishahara ya wachezaji pamoja na kukidhi mahitaji mengine ya klabu.
Mmiliki huyo alisema kuwa "Ikiwa watu 20,000 watatoa kiasi cha paundi £100 basi itakuwa ni sawa na jumla ya paundi milioni 2, hivyo Kiasi hicho cha pesa kitatosha kugharamikia kila kitu"