
Wanawake hao ni Veronica Paulo (24) na Witnes Paulo (20) ambapo Machi 20.2023 wakiwa nyumbani kwao wamedaiwa kukutwa nya nyara hizo za Serikali wakiwa eneo la Njutaa kata ya Partimbo
Afisa Maliasili Wilaya ta Kiteto, Doris Gama ametaja thamani ya mnyama aliyeuawa aina ya Swala kuwa ni dola za Kimarekani 35 sawa na sh 77,000 elfu za Kitanzania
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara RPC George Katabazi amethibitisha tukio na kudai kuwa upelelezi wa tukio hilo unaendelea #EastAfricaTV