Alhamisi , 9th Jan , 2020

Vurugu zimeibuka katika kikao cha Baraza la Madiwani wa jiji la Dar es salaam, wakati wa kikao maalum cha kujadili na kuamua hatma ya Meya wa jiji la DSM Isaya Mwita.

Meya wa Dar es salaam

Chanzo cha vurugu kimetajwa ni kusaini kwa mahudhurio kwa mtu ambaye hayupo ndani ya chumba mkutano, ambapo mtu huyo ni moja  ya wajumbe wa mkutano huo.

Tazama video kamili hapo chini.