Mourice Kirya
Msanii huyo ambaye ni mkali wa kucharaza nyaya za gitaa na sauti yake ya kuvutia kwenye muziki wa R&B, ataongozana sambamba na mkali mwingine kutoka Tanzania, ambaye ni fundi wa kutengeneza muziki na mwenye sauti ya ajabu, Barnaba Classic.
Barnaba Classic
Barnaba ambaye pia amedhamiria kufanya show kali na kuandika historia, hivi sasa anatamba na nyimbo zake kama lover boy na wanaifaa, licha ya nyingine ambazo zimekuwa haziishi muda masikioni mwa wasikilizaji na kufanya msanii huyo kuendelea kuwa fundi kwenye tasnia ya muziki wa bongo fleva
Mtazame hapa Mourice Kirya katika ngoma yake ya Ghost