Mbeya City imepaga kucheza michezo mitatu Uwanja wa Kamuzu mjini Blantyre kuanzia Juni 18 dhidi ya vigogo wa soka nchini humo, 'Big Bullets', wakati Juni 21 itamenyana na 'Civo United'.
Mechi nyingine Mbeya City wataijua baada ya kufika nchini humo na kocha Mmalawi, Kinnah Phiri anataka kuitumia ziara hiyo kuanza maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara.


