Alhamisi , 24th Apr , 2014

Mbunifu mavazi Martin Kadinda amesema kuwa, mapokezi ya mtindo mpya wa mavazi aliotoa hivi karibuni, kwachu kwachu umejipatia mapokezi mazuri na kumpatia ari ya kufanya vizuri zaidi.

Martin Kadinda

Martin amesema kuwa, kutokana na mafanikio ya kwachu kwachu, amefanikiwa kugundua kuwa hapa Tanzania katika swala zima la fashion yeye ni 'trend setter', akiwa na mchango mkubwa kubuni mtindo ambao unakuwa katika mzunguko wa fasheni nchini.

Martin amezungumza na eNewz kuhusiana na kwachukwachu na hiki ndicho alichosema, msikilize.....