Jumanne , 17th Jan , 2023

Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema hatoondoka katika klabu hiyo labda itakapotokea amelazimishwa kufanya hivyo.

Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp

Aidha nafasi ya makocha inabadilika au vitu vingine vingi vinabadilika katika soka. Mpaka sasa, nikiwa ndiye ninayewajibika kwa haya yote sitaondoka labda mtu aniambie niondoke", amesema Klopp.

Livepool ipo katika nafasi ya tisa ya msimamo wa EPL ikiwa na pointi 28, ambapo imepoteza pointi 26 kwenye michezo 18 iliyoccheza.

Wakati huu EPL ikiwa inaendelea kushika kasi, unaweza kujiunga EA Radio Fantasy League kwa Code: ( w4o7wz ) ambapo utajishindia zawadi hadi Tsh. 400,000 mwisho wa mwezi.