Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza jambo na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) Bi. Maria Helena Semedo mara baada ya kufanyika Mkutano wa Uwili wakati wa Mkutano wa Sita wa Baraza wa Mazingira Duniani (UNEA6) jijini Nairobi nchini Kenya.

4 Mar . 2024

Waziri ya Wizara ya Afya Mhe. Ummy Mwalimu akitoa maelekezo kwa vituo vyote vya afya binafsi na vya umma vilivyoingia Mkataba na NHIF kuendelea kutoa huduma.

1 Mar . 2024

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania IGP Camillus Wambura

29 Feb . 2024