Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) wakifurahi tuzo walizozipata katika maonesho ya teknolojia ya madini Geita. GGML iliibuka na tuzo nne ikiwamo ya muoneshaji bora pamoja na mshindi wa jumla.

5 Oct . 2023

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Dkt. Selemani Jafo akifungua Kongamano la pili la Kimataifa la Viongozi Vijana na Mabadiliko ya tabianchi (GLOBAL YOUTH CLIMATE SUMMIT) lililofanyika jijini Dar es Salaam Oktoba 04, 2023.

5 Oct . 2023

Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. bdallah
Hassan Mitawi akiongoza Kikao cha Tatu cha Kamati ya Maandalizi ya mkutano wa 28 wa nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP 28) utakaofanyika Dubai kuanzia Novemba 30 hadi Desemba 12, 2023.

5 Oct . 2023

Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile

4 Oct . 2023

Katibu Mkuu wa UVCCM Fakii Raphael Lulandala

4 Oct . 2023