Ulimwengu wa Fashion

Jumatano , 9th Jun , 2021

Kila kukicha wabunifu wa mitindo wanaumiza kichwa kubuni vitu mbalimbali ili kuona ni namna gani wanaweza kuja na vitu vipya sokoni na watumiaji kunufaika navyo.

Picha ya Stiletto Clogs

Sasa leo tumekusogezea mtindo mpya wa kiatu ambacho kinatarajia kutoka mwaka 2022, ambapo kwa mara nyingine tena Crocs na Balenciaga kwa pamoja wameshirikiana na kuja na toleo hili jipya la ‘Stiletto Clogs’ kiatu ambacho unachoweza kuvaa kwenye hafla yoyote.

Mpaka sasa bado hawajaweka wazi kuwa vitagharimu kiasi gani cha fedha.

Tazama picha