Sanamu la George Floyd la haribiwa

Ijumaa , 25th Jun , 2021

Polisi nchini Marekani imeanzisha mchakato wa uchunguzi kubaini wahusika wa tukio la uharibifu wa Sanamu la marehemu George Floyd ambaye aliuawa na aliyekuwa askari wa Minnesota, Derek Chauvin mwezi Mei 25, 2020.

Picha ya Sanamu la George Floyd

 

Sanamu hilo limeharibiwa na watu wasio fahamika kwa kupaka rangi za michoro tofauti ikiwa ni wiki moja tu tangu mamlaka ya mji wa Brooklyn walipo lizinduliwe.