Jumanne , 31st Mei , 2022

Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Neema Rugangira ameitaka serikali kuja na mpango wa kuhakikisha mtoto wa kike hakosi shule.

Mhe. Neema Rugangira akichangia bungeni

Kutokana na tafiti ya NIMRI ya mwaka 2021 ilionyesha watoto wengi wa kike hasa wa vijijini wanakosa shule kwa sababu yakuwa kwenye hedhi na moja ya sababu ni kukosa taulo za kike.

Mhe. Neema Lugangira mwaka jana ajitolea taulo za kike kwa wanafunzi 42 kupitia Kampeni ya Namthamini ambayo kwa sasa inakusanya michango ajili ya kusaidia watoto wa kike mashuleni tena kwa mwaka wa 6.

Unaweza kuchangia Kampeni ya Namthamini kupitia namba yetu ya ofisi 0787633313 kwa jina la East Africa Television. Pia unaweza kutuma kupitia
1. M-Pesa kwa lipa namba 5999900 jina East Africa Television.
2.  Akaunti namba 0150431938200 CRDB  jina NAMTHAMINI

Pia unaweza kuwasilisha mchango wako wa PEDI au fedha katika ofisi za East Africa Television na East Africa Radio, Mikocheni Dar es salaam.