Jumatano , 26th Mei , 2021

Jux, King of hearts kama ambavyo anajiita yeye mwenyewe ni muumini mkubwa sana wa mitindo, na safari hii msanii huyo wa RnB Bongo ametokelezea na vazi la aina yake ambalo limenakshiwa na Hereni.

Msanii Jux

Vazi hilo limebuniwa na mbuni wa mitindo ‘Mgombelwa’  ambaye amekuwa akifanya kazi na wasanii kama Ben Pol, Marioo, Linex na Jux mwenyewe ameliita ‘Hereni Code’.

 Msanii Jux kwenye mwonekano wa vazi lililonakshiwa Hereni