Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Usichokifahamu kuhusu mwanamuziki Malaika

Jumatano , 28th Feb , 2024

Kama hufahamu mwanamuziki wa Bongofleva Malaika Exevery maarufu kama Malaika, kabla hajaanza kuimba alikuwa akifanya kazi na muongozaji mkongwe wa video hapa nchini Adam Juma wa Visual Lab akiwa upande wa make-up pale walipokwenda location.

Malaika alionekana kwa mara ya kwanza kama video vixen kwenye video ya Rich Mavoko (Marry Me) mwaka 2012 kwasababu mrembo aliyekuwa amepangwa kwenye video hiyo, Miss IFM wa kipindi hicho hakutokea.

Na Malaika ndio mrembo pekee aliyekuwa eneo la tukio wakati wana-shoot, basi Meneja Maneno akapendekeza Malaika akae kwenye video japo pale alienda kama mtu wa make-up kwenye timu ya Director Adam Juma aliyetayarisha video hiyo. Hii ni kwa mujibu wa Rich Mavoko aliyesimulia katika moja ya mahojiano kwenye kituo cha redio mwaka 2020.

Baada ya muda kigodo Malaika akashiriki kwa mara ya kwanza kama mwimbaji katika wimbo wa Chege unaitwa Uswazi Take Away, uliompa umaarufu mkubwa kisha kuanza kutoa nyimbo zake mwenyewe.

HABARI ZAIDI

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko

Serikali yaipongeza Red Cross

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa

Aonya wanaochangia watumishi kutopanda madaraja

Edgar Lungu, Rais wa Zamani Nchini Zambia Akitembea Kuzunguka Mji Mkuu wa Lusaka

Rais wa zamani Zambia Bw. Lungu hatarini kukamatwa

Mkuu wa Ulinzi Ukraine (Picha ya Website)

Zelensky amfukuza kazi mkuu wake wa ulinzi