Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Ukiniona na Baghdad andaa mbavu zako - Roma

Jumatano , 18th Jan , 2017

Rapa Roma Mkatoliki ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Usimsahau mchizi' amefunguka na kusema siku zote ukimuona yeye amefanya kazi na Rapa Baghdad basi unachotakiwa ni kuandaa mbavu zako.

Roma na Baghdad

Roma Mkatoliki alisema hayo kupitia kipindi cha Planet Bongo na kudai siku zote wanatoa ngoma kwa lengo ya kuwafurahisha watu, wanatoa ngoma kwa lengo la kufanya watu wacheke na kupunguza stress ndiyo maana kazi hizo wanatoa kila mwezi wa kumi na mbili kipindi ambacho watu wengi wapo likizo.

"Siku zote ukiona Roma na Baghdad wamefanya kazi unachotakiwa kuandaa mbavu zako tu kwani tunafanya kazi kwa lengo la kufurahisha watu, kufanya watu wacheke ndiyo maana kazi zetu za pamoja tunatoa Desemba kipindi ambacho watu wapo likizo lengo watu wafurahi na kupunguza stress za kazi za mwaka mzima" alisema Roma Mkatoliki.

Mbali na hilo Roma Mkatoliki alizungumzia kitendo cha baadhi ya mashabiki kuwachana baada ya kufanya muziki aina ya singeli kwenye wimbo wao wa 'K', Roma anadai kuwa muziki hauna mipaka hivyo mashabiki hawapaswi kumuwekea msanii mipaka ya kufanya kazi, bali msanii anapaswa kuwa huru na kufanya muziki aina yoyote.

HABARI ZAIDI

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko

Serikali yaipongeza Red Cross