Picha ya Msanii Teni
Hit maker huyo wa ‘Billionaire’ ame-share picha na video (BTS) za matukio mbalimbali wakati akitayarisha video hiyo ambapo ameonekana akiwa kwenye kiti cha mbele cha gari lililokuwa limening’inizwa hewani huku yeye akiimba wimbo ambao walikuwa wakiufanyia video.
Album ‘Wondaland’ ilitoka Machi 19, 2021 huku ikiwa na nyimbo 17 na collabo moja pekee kutoka kwa msanii mwenzie wa Nigeria Davido.