
Picha ya Rosa Ree
Tayari Rosa Ree amemjibu Khaligraph Jones kupitia diss yake ya Mama Omollo baada ya Khali kusema rap game ya Tanzania imelala.
Kwa sasa Rosa Ree yupo Kenya akifanya Media Tour na kushirikiana na mashirika mbalimbali ya nchini humo yanahusiana na kutoa elimu kuhusu Afya akili na kusaidia wa mama wanaojifungua.