Picha ya Hamisa Mobetto
Kupitia post yake ya mwisho kwenye mtandao wa Instagram Hamisa Mobetto ameshea video kwa kuandika "I'm so In love, yani jamani nampenda mpenzi wangu mimi".
Wanasema penzi jipya ni tamu na la moto sana, hivyo ndio ana-enjoy kwa sasa staa na mrembo @hamisamobetto ambaye ameweka wazi kuwa yupo penzini na anampenda mpenzi wake.
Picha ya Hamisa Mobetto
Kupitia post yake ya mwisho kwenye mtandao wa Instagram Hamisa Mobetto ameshea video kwa kuandika "I'm so In love, yani jamani nampenda mpenzi wangu mimi".